NEW MUSIC: Wasafiri Feat Kidis-SIKUTAMANI


Wasafiri nikundi kutoka mtaa wa Barisheba, Mombasa linalojumuisha vijana wanne;Ticha, Salu Wamakamo,Smart K na Mapi. Kundi lilianzisha mwezi wa Aprili mwaka huu, 2015 na wakafanya track yao ya kwanza ndani ya Green House Record  inayoitwa Msafara Wa Mamba.
download/skilza 'sikutamani' hapa 

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele