NEW VIDEO: Young Dee-UJANJA UJANJA
Young Dee, msanii mkali wa hiphop ambaye hivi majuzi alijitenga na Stamina na CountryBoy ambao kwa pamoja walikua wanaunda kundi la Mtu Chee, ameachia video hii yake mpya iliyoongozwa na Khalfani Khalmandro.
Ni video kali ambayo ameifanya kama video ya Wiz Khalifa ya wimbo Dem Boys.
Comments
Post a Comment