Sis P Feat Barnaba-BONGE LA BWANA REMIX


Sis P amemshirikisha mkongwe w bongofleva Barnaba katika remix ya wimbo wake wa Bonge La Bwana ambayo umetayarishwa na Producer Khalid, A Million Records.
Ni hatua kubwa kwa Sis P kuweza kumfikia msanii mwnye hadhi ya Barnaba. Hii ni track ambayo inatarajiwa kumuweka Sis P katika sehemu nzuri katika anga za mziki lakini kwa jinsi ninavyomjua Barnaba na uwezo wake wa sauti na utunzi, kiukweli hapa hajamtendea Sis P haki.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD / KUSKILIZA WIMBO HUO

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele