SUSUMILA AOA
Baada ya kutangaza kuachana na aliyekua mkewe, msanii Susumila hatimaye leo amefunga ndoa na mrembo muigizaji Kibibi almaaruf Chiriki/Tina.
Ni sherehe iliyofanyika maeneo ya Mtopanga na imehudhuriwa na na wasanii na washika dau wengi kwenye sanaa ya mziki na burudani kwa jumla kama vile Gates, Dj Elon, Chriss, O,neal Nyanje, Amourey, Dazlah, Jya Crack, Tee Hits, Rihaha the boss, Kaa Laa Moto...na wengine wengi sana
Tulibahatika kupata mualiko wa hafla hii na hizi ni baadhi ya picha kutoka Nikaah ya Sususmila na Chiriku.
Comments
Post a Comment