Daddy Selle amekua wapi? Amewacha mziki? Ataachia wimbo mpya Lini? Msikilize


Ni msanii aliyetamba saana na kibao cha #Machungu na #Ananipenda miongoni mwa vingi vilivyotawala chrt za mziki kwa siku nyingi. Wengi wamekua wakijiuliza jamaa kaenda wapi baada ya kimya kirefu.
Tumemtafuta Daddy Selle ili aweke wazi majibu ya maswali ya wengi..... Je, amewacha muziki? na kama amewacha anafanya kazi gani kwa sasa? Na kama hajawacha mziki ni lini mashabiki wake wanafaa kutarajia kitu kipya kutoka kwake? Bonyeza link kusikiliza alichokisema Daddy Selle mwenyewe kuhusu safari yake ya mziki....
mskilize Daddy Sele HAPA 

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele