Dogo Richy Katika Scandle Nyengine


Ikawa ni siku ya Jumamosi na kila msanii anayefaya vizuri kwenye mziki wikendi zinampata katika mishe za matamasha. Siku ya Jumamosi iliyopita Dogo Richy msanii anayefanya vizuri na kibao cha yoyobah alihitajika kupiga show katika klabu ya kalahari iliyoko maeneo ya watamu show ambayo richie alikua amelipwa tayari down payment.Chakushangaza Richy Ree alifika maeneo lakini ilipofika mda wa kupanda stage jamaa hakuonekana hali ambayo iliwafanya wadau walioandaa show hiyo kupaniki na mwishowe ikawabidi waregeshe hela kwa mashabiki ambao tayari walikua washalipia show... Je kipi kilichopelekea Richy Ree kuipiga chini show hiyo? Tulifanikiwa kupanda pande zote mbili ikiwa ni umiliki wa klabu ya Kalahari pamoja na Dogo Richy mwenyewe na kila mmoja alikua na data za kujitetea
skuliza pande zote mbili zikijieleza

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele