kionjo cha video mpya ya Mswazi Masauti-MAHABUBA
Ikiwa ndio project ya kwanza tangu aingine katika uangalizi wa producer mkongwe nchini, Ted Josiah, kijana wa nyumbani mwenye uwezo, talanta na juhudi za kufa mtu Mswazi Masauti anatarajiwa kuangusha bonge la track pamoja na video yake siku ya Ijumaa, 27 Novemba 2015.
Mashabiki na washika dau wakiwa katika mkao wa kula kutaka kujua ni kipi Masauti atatuangushia kutoka kwa SwaRnB records, chini ya uongozi wa Ted Josiah, hiki hapa kionjo cha kazi hio inayosubiriwa kwa hamu na ghamu
Comments
Post a Comment