Mswazi Masauti afafanua kwa kina ujio wake na hali yake kimziki


Mswazi Masauti ni msanii mwenye ambaye amejaaliwa kipaji cha utunzi na sauti si haba ametamba kwa track kama vile Uko Wapi, Siwezi, Usikate Tamaa na Niko Nawe ambayo aliifanywa wakiwa kundi la Number One Academia [SudiBoy, Chapatizo, Kigoto, Masauti].
Baada ya kutoa wimbo wa Niko Nawe akiwa Number One Academia amekua kimya sana, je kulikono? Kuna changamoto zinazomnuweka kimya? kama zipo, ni gani.... Bado yupo Number One Academia? Mashabiki wake wasubirie kitu gani?
Huyu hapa Masauti akizungumzia kwa kina kuhusu hali halisi ya kazi zake za mziki
bonyeza hapa kumskiliza MASAUTI

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele