NEW MUSIC: AliKiba & Christian Bella-Nagharamia


Zile ngojangoja sasa kwishney....Mzigo kutoka kwa Alikiba akishirikiana na Christian Bella ulikua umesubiriwa sana na sasa track hiyo ndio hii hapa imedondoshwa uraiani. Ni bonge la track kwani utunzi uko juu na wawili hawa hawaku disapointi kwani wameonyesha uwezo wao wa sauti si haba...
Bonyeza Hapa kuskiliza / kupakua hit hio 
 

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele