Nas Junior amemshirikisha hitmaker Mr.Blue katika track hii ya hiphop kwa jina Mlete. Ni track kali sana, chukua mda wako kuiskiliza/kui,download. CLICK HERE TO LISTEN/DOWNLOAD
Mtaa Kwa Mtaa- Country Boy akimshirikisha GNAKO ni moja kati ya track za hiphop ambazo zili,hit sana mwaka jana. Hii hapa ni remix ya hit hio ikiwa mara hii Stamina, ChidiBend na Climax Bibo wameingia mzigoni. DOWNLOAD/LISTEN HERE
Comments
Post a Comment