NEW MUSIC: Nay WaMitego-NYUMBANI KWETU
Nay WaMitego ni msanii ambaye amejaaliwa na talanta si mchezo. Akiimba shwari, aki,rap anafunika. Ni mmoja ya wasanii ambao huezi sema ni rapper au muimbaji kwani pande zote mbili anaweza. Kama umekua ukimfuatilia utaweza kuona anatoa nyimbo moja ya hiphop alafu inayofuata ni kuimba.
Sina Mda ndio wimbo wa mwisho alioachia na sasa amekuja na #Kwetu_Nyumbani, track amabyo ameimba kwa style ya mduara.
BONYEZA HAPA KUSKILIZA/KUPAKUA
Comments
Post a Comment