NEW VIDEO: Kassim Mganga Feta Christine Bella-SUBIRA
Baada ya takriban miezi tisa tangu wimbo Kassim Mganga aka Tajiri wa Mahaba kuachia wimbo wake aliomshirikisha Christine Bella hatimaye video ya hit hio imedondoshwa.
Ni video iliyotayarishwa na Adam Juma. Location nzuri za ufuoni na wametumia wanenguaji wanaoweza kazi yao.
Comments
Post a Comment