NEW VIDEO: Mswazi Masauti-MAHABUBA
Zile ngojangoja sasa kwishney......ile video ya mkali wa utunzi aliyejaaliwa sauti kama jina lake linavyoashiri, Mswazi Masauti imedondoshwa uraiani.
Ikiwa hii ndio kazi ya kwanza chini ya ulezi wa producer mkongwe nchini, Ted Josiah wa SwaRnB Records, bila shaka Masauti amegonga ndipo kwani hii ni track kali sana na video imefunika ile mbaiya.
Comments
Post a Comment