Producer Amz afunguka kwa undani sababu za yeye kutoka SQ Records
Baada ya Producer Amz kutangaza kujiuzulu kama producer wa SQ Records na kuasema kwamba anajipanga kuja upya na studio yake ifikapo Januari 2016, mengi yamesemwa kama vile ya kwamba hakujiuzulu ila amefutwa kazi.
Haya hapa ni mhojiano na AMZ akieleze kuhusu tetesi za kwamba alifutwa kazi. Na vipi swala la kua hard disk zilipotea na kazi zote za wasanii ambazo zilikua hazijatoka kupotea? Kulikua na ugomvi wowote au kutoelewana kati ya producer Amz na Steve ambaye ndio mmiliki wa SQ Records?
BONYEZA HAPA KUSKILIZA MAHOJIANAO HAYO
Comments
Post a Comment