Gates aanda Mombasa Allstar Interview
Ikiwa leo ndio siku ya mwisho ya mwaka wa 2015, presenter wa Pwani Fm, Gates Mgenge Grandson anayeendesha kipindi cha MashaMashav ameandaa bonge la interview-Mombasa Allstar interview akiwa ameshiorikisha wasanii Sita na Producer wawili.
Akishirikiana na Producer wake Lucas De Mackinon, Gates amewahost wasanii wastar hao nane kwa wakati mmoja. Walioshirikishwa katika interview hii walikua ni SudiBoy, Susumila, Dogo Richy, Profesa Nasha, Sis P, Dazlah, JayCrack na Producer Amz.
Katika show hio iliyokua ni show ya kufunga mwaka mengi yamefungukwa (nitawaletea kwa mda) kuhusu kazi binafsi za kimziki lakini cha msingi wote walikua wanashukuru kwa kazi walizofanya mwaka huu, hatua walizopiga na kuwa na matumaini katika mwaka mpya wa 2016.
Comments
Post a Comment