Je CEO wa Pwani Celebrity Awards atakuwa host Wa Mseto EA?


Huenda Sanita Nzaro, mwanzilishi wa Pwani Celebrity Awards akawa katika runinga yako hivi karibuni.
Wakati kipindi cha Mseto EA kinachoongozwa na gwiji katika tasnia ya burudani na utangazaji, Willy M. Tuva aka Mzazi kikiwa kina kinasherehekea kutimiza vipindi zaidi ya elfu moja hapo tarehe moja Januari 2016 katika sherehe ya Mseto 1000 Live Mzazi atakua anamtambulisha Co-host wake pia.
Katika watu 35 walioshiriki katika kupigania nafasi hio ya kua co-host wa Tuva, Sanita ni mmoja kati ya watatu waliobaki baaada ya mchujo. Wapinzani wa Sanita ni Yvone na  Melodi Sinzori wote wakiwa wametokea Nairobi.

Katika sherehe hio ambayo itakua inapeperushwa hewani katika runinga ya Citizen Tv midaa ya saa nne kasorobo usiku, msanii kutoka hapa nyumbani SUSUMILA atakua anatuwakilisha kwani ni mmoa atakaye,perform pamoja na Nameless, Mr Nelly, Kansoul, Heat The Band, Pacho, Grandpa Team, Bahati, Denno, Jaguar, Avril na wengine wengi. 

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele