Jua iliko Studio Mpya ya Producer Amz
Baada ya kujichuja kuoka kwa Studio aliyoifanyia kazi kwa miaka mitano, SQ Records, Producer Amz ametangaza sehemeu inapopatkana studio yake mpya kwa jina TEMPOZ.
Wakati akiondoka SQ Records, Producer Amz alisema ya kwamba aliamua kutoka SQ Records kwani alikuua anaona mda mwafaka wa kujipanga kivyake umewadia. Aliahidi ya kwamba studio yake mpya itaanza kufanya kazi January 2016 lakini hakuwahi kusema sehemu itakayokua.
Lakini hii leo, Amz ametangaza ya kwamba, Tempoz ipo njia kuu ya Mombasa-Malindi, eneo la Bamburi, kando ya Bamburi Beach, nyuma ya Kenda Bay Beach/Kahamas Hotel.
Comments
Post a Comment