NEW MUSIC: MB Dogg-SIO SIRI


Hitamaker wa Latifa, ambaye alihit enzi zile na anayejikamua kurudi katika radar ya mziki, MB Dogg ameachia kipini kipywa kwa jina SIO SIRI.
Kama kawa, hii i kuhusu mapenzi. Amejifua sana na naamini ngoma hii akiiskuma vizuri atajiweka mahali pazuri katika anga za mziki.
DOWNLOAD/LISTEN HERE

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele