NEW MUSIC: Salam TMK( Mkubwa na Wanawe)-NAFSI
Ni kundi kutoka kambi ya talanta ya MKUBWA NA WANAWE inayomilikiwa na Said Fella aka Mkubwa Fella yuleyule anayewalea YAMOTO BAND.
Ni kundi jipya la vijana saba-OSAMA, PODO, STARBOY, ZUBERI, STAR MAPOZI, ABUUADO na FETTY na hii ndio kazi yao ya kwanza na Producer Shirko ndiye aliyetayarisha mzigo huu.
DOWNLOAD/LISTEN HERE
Comments
Post a Comment