NEW VIDEO: Alikiba & Christian Bella-NAGHARAMIA


Ni moja kati ya ngoma kali kubwa Afrika Mashariki mwaka huu. Christian Bella ambaye mwaka huu amefanya kazi kubwa kubwa ukizingatia kua alifanya collabo na mkongwe wa Lingala, Koffi Olomide.
NAGHARAMIA ni track aliyoshirikiana na mkali AliKiba na imetokea kua hit ukizingatia utulivu wa mashairi na uwezo wa sauti waliodhihirisha wawili hao katika track hio.
Hii hapa ni bonge la video ya track hio, iliyoongozwa na video directro mkali toka hapa nchini, ENOS OLIK.
 

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele