NEW VIDEO: Ommy Dimpoz-ACHIA BODY


Baada ya kukaa kimya kwa mda, Ommy Dimpoz amevunja ukimya wake na video hii mpya ambayo audio yake ilitayarishwa na ManWater, Combination Sound.
Video hii ilitayarishwa mjini Johannesburg, Afrika Kusini na iliongozwa na OB Films.


Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele