NEWMUSIC: Susumila Feat Kalaa-OYOO


Ukitaka kuorodhesha wasanii wanaojituma katika kazi na kutia bidii ya mchwa basi bila shaka Susumila ndiye atakayeongoza orodha hio kwani kwani mwaka huu ameweza kuweka rekodi ambayo haijawahi kuwekwa hapa Pwani. Susumila ana jumla ya nyimbo kumi na moja ambazo amezifanya mwaka huu tu. Ikiwa ni kazi za kushirikishwa, kushirikisha na single zake mwenyewe. Na kufunga mwaka, susumila ametoa wimbo huu ambao ni wa 12 huufanya mwaka huu.
OYOO ni track ambayo imetayarishwa na Producer Amz akitumia studio ya Morbiz. Susumila ameshirikisha Kalaa, jamaa flani m,congo hivi hua ni muimbaji wa bendi za lingali.
DOWNLOAD/LISTEN HERE

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele