Susumila, Sudiboy, Profesa Nasha, JayCrack, Sis P, Amz, Tee, Dazla na Dogo Richy katika video moja wakituma ujumbe wa mwaka mpya


Katika Interview ya kipekee ambayo ilikua ni ya kufunga mwaka, Gates Mgenge amewafanyia interview ya pamoja  katika kipindi anachokiendesha cha  cha mashavmashavu.

Baada ya interview hio Susumila, Sudiboy, Profesa Nasha, JayCrack, Sis P, Amz, Dazla na Dogo Richy wamerecord  video ya kutuma ujumbe wa Mwaka Mpya kwa ajili ya mashabiki wao. Hii hapa itazame.


Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele