Ujumbe Krismasi Kutoka kwa SIS P



2015 umekua mwaka wa mafanikio kwake kwani ndio mwaka aliochukuliwa na kuwekwa katika uangalizi wa A MILLION Records inayoongozwa na Producer Khalid. Si siri, A Million Records imefikisha mbali na talanta aliyo nayo kwani ameweza kufika kwa Magufuli na kufanya collabo na msanii mwenye sifa za kutajika-Barnaba katika wimbo wake wa Bonge La Bwana Remix.
Sis P kwa sasa anatamba na wimbo NIRINGE NAYE Remix alioshirikiana na Alkenia na Pday.
Ikiwa ndio tunaingia katika skukuu ya Krismasi, huyu hapa SIS P na ujumbe a Krismasi.
BONYEZA HAPA KUMSKIA SIS P

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele