Wachezaji 20 bora 2015 Ligi Kuu ya Uingereza
Mwaka wa 2015 ndio huu umekamili, katika Ligii Kuu ya Uingereza, timu 18 zimecheza mechi 19 isipokua Liverpool na Sunderland waliomecheza mechi 18.
bleacherreport.com ni moja wapo ya mitandao inayoandika habari na uchanganuzi wa michezo. Mtandao huu umetoa listi ya wachezaji 20 bora katika Ligi Kuu ya Uingereza mwaka huu wa 2015.
Katika listi hio kuna wachezaji wawili wa Afrika, ni ake na nani? tazama listi hio....
- David De Gea (Man United/Hispania)
- Mesut Ozil (Arsenal/Ujerumani)
- Alexis Sanchez ( Arsenal/Chile)
- David Silva (Man City/Hispania)
- Sergio Aguero (Man City/Argentina)
- Chris Smalling (Man United/Uingereza)
- Santi Cazorla (Arsenal/Hispania)
- Harry Kane (Tottenham/Uingereza)
- Toby Alderweireld (Tottenham/Ubelgiji)
- Francis Coquelin (Arsenal/Ufaransa)
- Willian (Chelsea/Brazil)
- Riyad Mahrez (Leicester City/Algeria)
- Jamie Vardy (Leicester City/Uingereza)
- Philippe Coutinho (Liverpool/Brazil)
- Hector Bellerin (Arsenal/Hispania)
- Hugo Lloris (Tottenham/Ufaransa)
- Morgan Schneiderlin (Man United/Ufaransa)
- Scott Dann (Crystal Palace/ Uingereza)
- Sadio Mane (Southampton/Senegal)
- John Stones (Everton/Uingereza)
Comments
Post a Comment