YAMOTO Band kufunga mwaka Mombasa



Katika top 10 ya nyimbo na video za mwaka East Africa nina uhakika hauwezi kukosa hawa vijana.  Kulingana na youtube, katika video 10 zilizoangaliwa sana Bongo wameorodheshwa nambari 3-nitakupwelepweta5-Nisambazie raha, na pia nambari  9-Cheza kwa madoido.
Ni kundi ambalo halishikika na wako on demand sana kwani wapandapo jukwaani wanatumbuiza si mchezo.
Walikuwa Mombasa Mwezi wa Agosti katika uwanja wa Mombasa Sports Clubs na walitosheleza mashabiki. Watu wamekua na hamu sana ya kutaka Yamoto Band Kuja tena Mombasa. Atlast wameitikia mwito na wanaufunga mwaka Mombasa.

Tarehe ni 31 Disemba. Ktika show kubwa Mombasa ya kufunga mwaka Talentos Beach Resort, Likoni ndipo watasababisha. DJ IVORY na  MC Gates Mgenge Grandson na MC TUCKER watakuwepo.
Advance Tickets ni ksh.800. Gate-ksh 1000 kabla saa mbili usiku, n KSH. 1500 baadae. Advance Tickets zinapatkana TALENTOS BEACH RESORT, 0703 725 635 na pia unaweza kulipa na MPESA. Till Number ni 550491
 

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele