Baada ya kukaa kimya kwa mda. Ohzy aeleze kuhusu ujio wake mpya na mipango ya mbeleni
Baada ya kukimya sana katika anga za mziki, msanii huyu wa HIP HOP amejitokeza na kuweka wazi kwamba amerudi rasmi kwenye mchezo na kufikia sasa tayari yuko na takriban track 4 kibindoni ambazo ana uhakika zitasumbua saana katika soko mwaka huu. Katika mahojiano naye OHZY ametaja kuwa kazi nyingi zilimueka nje ya mchezo ila kwa sasa amejitayarisha kuja na utofauti mkubwa huku akihoji kuwa kupotea kwake kwenye mchezo kuliacha pengo kubwa ambalo hakuna msanii ambaye amefanikiwa kuliziba.Hata hivyo msanii huyu kupitia njia ya punchline amemtaja msanii wa hip hop anaemkubali zaidi hapa pwani je ni msanii yupi?
MSIKILIZE OHZY HAPA
Comments
Post a Comment