Dazlah aweka wazi kuhusu kusimamiwa na mpenzi wake na Sintofahamu za video ya Bangereba Remix
Mwishoni mwa wiki, Jay A aliachia video ya IYO, track ambayo amemshirikisha Dazlah Kiduche. Kando na hio, kumekua na minong'ono kuhusu mambo yake binafsi haswa swala la mapenzi, inasemekana ya kwamba mpenzi wake-Lizz amekua akim,support na fedha katika kazi zake za mziki na maisha yake binafsi, na eti, eti lakini, Dazlah alikana madai hayo, je ni kweli? na anachukuliaje swala hili?
Video ya Bangereba Remix aliyomshirikisha Susumila iliyotayarishwa mwishoni mwa mwaka jana hata kionjo kuonyeshwa katika mitandao ya jamii, vipi, mbona haija angushwa urainai, kunani?
Huyu hapa Dazlah akiweka kila kitu wazi.
MSIKILIZE Dazlah HAPA
Comments
Post a Comment