Dogo Richie ana mipango gani mwaka huu?
Dogo Richie aka Mr Yoyoba, hitmaker wa Sina Raha, jamaa asiyeishiwa na scandls, mwishoni mwa mwaka jana ali,sign,iwa na KingKong Entertainment alisema ya kwamba huu mwaka ni mwaka wake wakuuza sura? hivi alimaanisha nini? Mashabiki watarajie nini huu mwaka? Na swala la scandals analichukuliaje? Yeye kama msanii, ni msanii gani anamfagilia sana hapa Mkoani? Kwa maoni yake, ni wasanii gani anaamini wakifanya collabo hapa mkoani wata,hit balaaa?
BONYEZA HAPA KUMSKILIZA DOGO RICHIE

Comments
Post a Comment