ESCOBAR alikua wapi, na amerudi kwenye sanaa rasmi au ni kwa mda tu... Mskilize


Msanii huyu ambaye kabla awachilie kibao chake kipya cha WANATAKA KUNIJUA alikua amekimya kwa mda mrefu sana mpaka ikafikia wakati kukaanza kuenea stori mitaani ya kuwa alikua amekua makanga, mara amehamia taifa jirani la Tanzania. Nassoro William aka Escobar kwa sasa amejitokeza na kumwaga data zinazosimama  kunyamaza kwake. Msanii huyu ameweka sababu kadhaa mezani mojawapo ikiwa ni masomo. Je anafanya course gani? Na je ana mipango gani mwaka huu kimziki? Pata kujua kama kweli amerudi rasmi kwenye mziki au amejipanga vipi?
BONYEZA HAPA KUMSKIZA ESCOBAR AKIFUNGUKA

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele