Jua watakao wakilisha Pwani katika tuzo za Bingwa Music Awards Mwaka Huu

Tuzo za kila mwaka za ‪Bingwa Music Awards zinaingia msimu wake wa tatu tangu kuidhinishwa kwake. Tuzo hizo zinawaleta pamoja wasanii na wadau wa tasnia ya burudani kutoka ukanda wa Africa Mashariki ikiwemo Sudan Kusini na Rwanda. Wasanii wa hapa nyumbani hawakuachwa nyuma kwani nao wamo katika kinyang'anyiro hicho kwani wapo waliolteuliwa kwenye vitengo kuwania taji hizo wakipania kuongeza haiba zao kimziki.
Nyota Ndogo, Mzee Ngala na SudiBoy na Dj Kaytrixx ni kati ya wale watakao peperusha bendera ya Pwani.
Hii hapa list kamili ya walioteuliwa katika kila kitengo.

  
Bingwa Come Back Of The Year
Nyota ndogo
Wahu
Wakimbizi
DNA
Abbass
Octopizzo
Bingwa Verse Of The Year
Cannibal- welle welle rmx
Sossun- Fimbo ya tatu
Gabu- weka weka
Dj Of The Year
Kaytrixx
Joe Mfalme
Kriss Darlin
Chokra(TZ)
Shira(UG)
Collabo Of The Year
Sudiboy& Jaguar- barua kwa rais
Welle welle rmx
Avril & ommy dimpoz- hello
Rabbit,Kristoff,frasha- dandia
Kansoul- moto wa kuotea mbali
Grandpa- fimbo ya tatu (dawa ya moto)
Bingwa Legendary Award
Leonard Mambo
Them Mushrooms
Fred obachi
Catherine kasavuli.
Song Writer Of The Year
Sudiboy& Jaguar- Huu mwaka& Barua kwa Rais
Mapepo- visita
Nerea- sauti Sol
Hakuna ngori- kelele takatifu
Subira- Ken MOG& Mr vee
Dialect Artist Of The Year
Mzee Ngala
Lillian rotich
Mike Rua
Ken wamaria
Lady Maureen
Joseph sisha
Ever Relevant Artist Award
Amileena
Size 8
Nameless
Rufftone
Wyre
Kenrazy
Bingwa Album of the year
Amileena- Amileena
Vanity- Daddy Owen
Legend of Kaka- Rabbit
Lion- Wyre
LDPC- Octopizzo
Mwanaume ni Effort- Calvo Mistari

Tuzo hizo zitakazofanyika ukumbi wa Prestige Palm, Prestige Plaza eneo la Village Market jijini Nairobi siku ya 29 Januari 2016. CEO Sam Osewe wa tuzo hizo alisema tofauti yake na tuzo nyingine ni uwazi na uwajibikaji na kupongeza kampuni za Red Bull na Grants Signature Whisky kwa kushirikiana naye kwa ukaribu kuzifanikisha.

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele