Kaa Laa Moto Aongelea kuhusu HipHop ya Pwani


Msanii mkali wa HipHop hapa pwani Kaa La Moto hivi juzi alishangaza wengi baada ya kuachia wimbo aliomshirikisha mkongwe wa mziki, Mzee Ngalla ambaye ni mwanzilishi wa mziki wa bango.
Track hio imekua gumzo kwani hakuna aliyetarajia au kutabari ya kua inaweza kutokea track ambayo ime,fuse hiphop na bango.
Yote tisa, kumi, Kaa La Moto anaichukuliaje hiphop ya hapa Pwani? changamoto ni zipi, anaushauri gani na vipi kuhusu maswala la beef?
Msikilize kaa la moto HAPA
 

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele