New Kid on the Block - Kelechi Africana

Ni chipukizi ambaye anajipanga  kuja kutikisa anga za mziki. Anaenda kwa jina la Kelechi Africana. Chini ya uangalizi wa Athman Babaz, anatarajiwa kuachia track yake ya kwanza kwa ijana Bomboribo. Ni track ambayo imetayarishwa na Producer Hammadoo wa Ghetto Records na Producer Noizer, GreenHouse Records

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele