NEW MUSIC: AliKiba-DUNIA SHAMBA


AliKiba ambaye wengi wanasema ndio king wa bongofleva, hitmaker wa Mwana ameanza mwaka na hii yake mpya inayoitwa Dunia Shamba. Kama ulikua unammiss yule Alikiba wa kitambo basi huyu hapa na styl yake ya kitambo.
DOWNLOAD/LISTEN

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele