NEW MUSIC A.Y Feat Diamond-ZINGO REMIX
Ni mzigo ambao ulikua unasumbiriwa toka mwishoni mwa mwaka jana. Hatimaye ndio huu umedondoshwa, ''Zee la commercial'', AY akiwa amemshirikisha Diamond katika remix ya wimbo aliouachia mwaka jana-ZIGO.
DOWNLOAD/LISTEN HERE
Comments
Post a Comment