NEW MUSIC: CashEra - MOLLIS


Mwishoni mwa mwaka jana, Cash Era alianzia video ya Deborah ambayo ndio ilikua iwe kazi yake ya mwisho kabla kuchukua likozo ya mwaka katika kazi yake ya mziki. CashEra alikua amepanga kurudi tena katika mziki mwaka wa 2017 baada ya kumaliza shahada yake ya uhasibu.
Akiskiza beat flani tu studio, akapiga freestyle na waliokuwepo wakasema mistari hio ilikua inauzito ya kuwa wimbo. Ukiskiza wimbo wenyewe umetumia jina/mfano wa Mollis kutoka kwa audio iliyo,trend sana katika mitandao ya kijamii mwaka jana na hilo ni jambo ambayo lilimpa ugumu Cash Era, kwani angengoja hadi 2017 kuachia track hii basi isingekua na maana.
Track hii ni beat ya Producer Amoo, BigDreamz Media na vocals ziliwekwa na Producer Totti. Ilikua ikamilishwe na producer mwengine tofauti baada ya wasanii wengine kuongezea kazi zao lakini walichelewa na kwa sababu ya mdaa ikabidii ikamilishwe tu kama ilivyo.
LISTEN/DOWNLOAD HERE

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele