NEW MUSIC: Chilibasi Feat SimpleBoy-NAMPENDA


Alianza mziki mwaka wa 2009 kulee Kilifi, Crack Sound Records lakini akachemsha baada ya kuona mziki wa kizazi kipya unamkalia ugumu kiasi. Kwa kua mziki uko ndani yake na talanta anayo, aliingia katika mziki wa bendi na kuanza kuimba bango 2010. Akajiunga kwa mara ya kwanza na bendi ya Fahari Sounds nailipofikia 2012 akaanzisha bendi yake-KAYA International.

Baada ya kukutana na Producer Tonny Daddy wa Mo Fire Records, akaona anaweza kufanya tena mziki wa kizazi kipya kwani Producer Tonny anatayarisha mziki wake live hivyo basi kumpa wepesi na kuelewa style yake ya mziki.

Hii hapa ni track yake mpya akiwa amemshirikisha SimpleBoy ambaye alishirikishwa pia na SudiBoy katika wimbo wa Amini MIMI. Ni wimbo uliotayarishwa na Producer Tonny Daddy, Mo Fire Records, Mazeras-0703162335.
LISTEN/DOWNLOAD HERE

Comments

  1. This is incredible , keep it going and never give up. The future is brighter.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele