NEW MUSIC: Dee Bouwy Feat Chapatizo & CLD - NIPE
Kuna songs hua zina mzuka na iwapo utaiskia kama uko down au mayb vianja flani ivi lazma utachangamka na kama umekaa utamka uchez, hii ni kati ya ngoma izo.
Kutoka BigSoul Entertainment, Dee Bouwy amemshirikisha mkali wa masauti Chapatizzo na jamaa wa micharazo ambaye alikua missing kidogo kwenye game lakini anajitahidi kurudi anga hizo, CLD.
LISTEN/ DOWNLOAD HERE
hiyo kali. one love kwako
ReplyDelete