NEW MUSIC: Juma Nature & Cannibal - KIDALUSO
Mkongwe wa bongofleva, bongo hiphop, Juma Kassim Ali aka Sir Nature amemshirikisha mkongwe wa hiphop hapa Mombasa, msanii ambaye alikua kimya lakini toka mwaka jana anang'ang'ana kurudi kwenye ramani ya mziki. Si mwengine bali ni Cannnibal Shattah. Ni track ambayo imetayarishwa na Producer Amz, Tempoz.
DOWNLOAD/LISTEN
Comments
Post a Comment