NEW MUSIC: Susumila Feat KingKaka-MAPEPE
Toka 2007, amekua akiachia hit baada ya hit. Ni mmoja ya wasanii wakubwa na mkongwe hapa Pwani. Katika safari yake ya mziki hajawahi kupumzika au kukaa kimya. Nilimuuliza Susumila siri yake ya kuwa kwenye mziki kipindi kirefu bila kukimya wala kubuma ni nini na akasema ya kwamba strategy na bidii ndio kila kitu. ''ukiwa na mikakati mizuri, ujue unachofanya na uwe focused, hakuna kitu kitakushinda. Mimi nimekua niki,change na trend na hio imenifanya ni,stay relevant katika mziki kwa kipindi hiki chote.''
Mwaka jana ulikua mzuri kwake na huu mwaka amesema hapunguzi mwendo, na kufungua mwaka hii hapa collabo yake na Rabbit aka King Kaka. Ni track iliyotayarishwa na Producer Totti aka La Internationale, Kay G Records.
DOWNLOAD/LISTEN HERE


Comments
Post a Comment