NEW MUSIC; Wakimbizi Feat Kidis-TWENDE NYUMBANI
Halo halo nataka kluongea na Mariko...tafadhali dada, kwangu ni wrong number, hio ni mistari kutoka kwa wimbo ulio,hit sana wa Wakimbizi, wasanii wa enzi zile kutoka Nairobi. Walikuja wakapotea sana lakini ndio wamerudi na raundi hi wamshirikisha hitmaker wa Viroboto, Kidis The Jembe.
Hawa majamaa hawajapoteza touch na mziki kwani hii track yao iliyoandaliwa SubSahara Entertainment na Producer Ulopa Ngoma ina mzuka si haba.
DOWLOAD/LISTEN HERE
Comments
Post a Comment