NEW MUSIC: Wasojali Band-HAKUNA MATATA


Ikiwa huu ni wakati ambao style ya band unashika na kuenea katika tasnia ya mziki wa Afrika Mashariki, Wasojali Band ni band ya hapa Mombasa inatesa anga za mziki si haba. Ni band ambayo ilituzwa tuzo ya band bora ya mwaka wa 2015 katika tuzo za Nzumari Classic Edition. Vijana ambao wako katika uangalizi wa Athman Babaz, hii hapa ni hit yao mpya iliyotayarishwa na Producer Noizer.
DOWNLOAD/LISTEN HERE 

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele