NEW MUSIC: Kelechi Africana-BOMBOROBO
Kelechi Africana, msanii mchanga ambaye ana uwezo si hapa. Ukiskiliza hii track hauwezi kuamini ukiambiwa ndio track yake ya kwanza kwani huyu dogo ameweza. Bomboribo ni track iliyoandaliwa na Producer Hammadoo wa Ghetto Records na Producer Noizer, GreenHouse Records. Ni track kali sana ya afrobeat na Kelechi ameimiliki beat na style mwanzo mwisho. Kati ya wasanii watakao teka anga za mziki naamini Kelechi ni mmoja wao iwapo ataongeza bidii na uwezo alionao.
LISTEN/DOWNLOAD HERE
Comments
Post a Comment