NEW VIDEO: Akothee Feat Diamond- MY SWEET LOVE
Hii hapa ni collabo ya kwanza katika msanii kutoka eneo la pwani na jamaa ambaye ako juu sana Afrika Mashariki, Diamond aka Baba Tiffah. Akothee amemshirikisha Diamond katika Sweet Love, wimbo uliotayarishwa katika studio za Diamond-WCB Wasafi Records na Video imeongozwa na kuandaliwa na Godfather Production.

Comments
Post a Comment