NEW VIDEO: GBTz-MPERA MPERA
Walihit enzi zile za nyuma lakini baadae wakatoweka kwenye rada za mziki. Lakini mwaka jana wakaamua kumtembelea Producer Amz. Na matembezi yao haayakua ya salamu tu, kwani ilikua ni kupanga ujio wao mpya katika tasnia ya muziki.
Res T, Jitu Zee, K Shadow na Blanco ambao ndio wanaunda kundi ua GBTz waliingia studio na kuanza kutayarisha album kwa jina Mpera Mpera. Mpera mpera ni neno la kimtaani tu linalomaanisha haraka na ndio pia jina la project yao ya kwanza ya album hio. Chini ya maandalizi ya Producer Amz na Director Ricky Bekko wa BigDreamz Media, hii ndio video yao ya project yao ya kwanza-MPERA MPERA.
Comments
Post a Comment