NEW VIDEO: Jay A Feat Dazlah-IYO
Hii ni video ya moja ya collabo ambazo zilingojewa toka mwishoni mwa mwaka jana. Huyu hapa ni Jay A, msanii wa Nairobi ambaye ametoka hapahapa mkoani akiwa amemshirikisha Dazlah aka KideKide Master.
Audio ya wimbo huu ilitayarishwa na Tee Hits na video ni kazi ya Picha Moja.
Comments
Post a Comment