Sina Nia Ya Kusign Msaanii Tempoz Asema Amz. Je Sababu Ni Ipi?


Producer huyo ambaye alihama studio za SQ na kufungua studio yake inayojulikana kama TEMPOZ alifunguka mengi kwenye mahojiano ambapo mbali na kanuni za studio yake pia amesema kuwa kwa sasa hayuko tayari ku,sign msanii yoyote katika studio na kuwa wasanii wote watakua wakifanya kazi kulingana na malipo. Kufikia sasa AMZ ameachilia ngoma kadhaa chini ya studio yake baadhi ikiwa ni HALI YANGU -Vivonce na OYOO -Susumila, KIDALUZO-Juma Nature & Cannibal.
MSIKILIZE AMZ HAPA 
 

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele