Susumila afunguka kuhusu uhusiano na Chikuzee, mipango yake ya 2016 na mengine zaidi


Mwaka jana ulikua mwaka mzuri sana kwa Susumila. Ni mwaka ambao alitoa ngoma nyingi sana kwa mwaka mmoja zaidi ya mwanamziki mwengine hapa Pwani, si zake tu lakini kwa ujumla na zile alizoshirkishwa.
Alikua na scandals kibao pia, kama vile mvutano na TK2, Kigoto na pia Chikuzee. Scandals zake hazikuishia katika kazi yake ya mziki tu bali pia maisha yake binafsi kwani kuachana na mama wa watoto wake na kufunga pingu za maisha na mwigizaji Kibibi Salim ilikua moja ya scandals ambazo zilitamba sana katika vyombo vya habari.
Vipi uhusiano wake na Chikuzee? Kuna uwezekano wa Collabo kati yao? Mwaka huu watu watarajie nini? mwendo ni ule ule kama wa mwaka jana au kuna mabadiliko gani atakua nayo katika kazi zake? Kwa maoni yake, ni wasanii gani wawili wakitoa wimbo utakua hit?
MSIKILIZE SUSUMILA HAPA

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele