Zari na Wema watufuana huko Instagram
Vita vya maneno kati ya Zari, mabaye ni mam wa mtoto wa Diamond na Wema Sepetu ambaye ni ex wa Diamond vilizuka baada ya mananeo kutoka kwa mashabiki/wapambe wa Wema kuzidi kurusha maneno ambayo yaliaminika kua yalikua yanalengwa Zari.
Zari akaamua kuvunja ukimya na akabwaga post akisema;
“Fake cars, fake houses, fake men, fake everything but they are here to judge.. yall look like just had a fight with a tiger,” aliandika Zari. “We feel your pain Dee is a loving man. I know what you u missing but guess what, I gat it all by myself. Sent to hell on a one way ticket buried 6ft under #Kasepa #HeIsHappyNow,”
Wema akaamua naye lazma ajibu jiwe hilo;
“Damn, she really got da energy.....Mi siwezi jamani mambo haya. Kaka kajua kumchanganya dada. Sasa kama kachanganyikiwa si yeye. Mi ningejua kuwa kuna siku nitakuja kummiss kaka nisingemwacha. Akumbuke hilo kwanza. Halafu kingine, hivi mimi ni mwanamke pekee niliyewahi kuwa na kaka au? Maana wenzangu naona hawatajwi ni Wema tu. Kuna kitu dada anakitafuta kwangu jamani. Sasa dada kama atasoma hapa ajue this is 2016, afanye mabadiliko basi maana tokea 2014 ana mimi tu, 2015 ana mimi tu na 2016 pia! Baby hujachoka tu bado? Nimejibu kwa mara ya kwanza maana naona umekuwa ukinitafuta muda mrefu mno. Mi maneno kama hayo yako sijui fake nini sinaga. But just if u read this honey, please nitoe kwenye ramani yenu. I no longer live there. And kuhusu kuwa fake, mi nishakubali na fake life yangu ila ningeomba utuwekee DNA ya Baby Tee kwanza. Pumbavu.”
Zari naye akarusha mshale:
“Ati DNA for what let her start na DNA ya Swiss then atupe ultrasound kisha ampime mtoto wake then she can ask for Tiffah’s. Hujawahi kuingia labour at unaomba DNA. Wachana na mambo ya wazazi. Endelea kugawa that’s the only thing you can manage. Mtoto wangu asikupe stress don’t beef with a baby, find you levels, Tiffah level nyingine# BabyBoss.”
Wema naye akaamua abwage majembe:
''Mama Taught me well…!! Kugombana na mtu mzima ni kukosa adabu…. Sijafunzwa hivyo…!”
Comments
Post a Comment