Baada Ya Kukaa Kimya Kwa Mda Mrefu , Peter Adamz Arudi Hewani
usibonyeze hicho kidude..... msemo wake maarufu anaopenda kuutumia akiambia mashabiki wake waendelee kumtegea. Peter Adamz au ukipenda P.A ni mtangazaji aliyetambulika sana kwa kucheza mziki wa hapa nyumbani na sanasana chipukizi enzi zile akiwa Pwani FM.
Lakini baadae alijiunga na Radio Maisha ambako pia alikua na kipindi cha Tv kwa mda mfupi katika runinga ya KTN-Iz Vipi XL Mashariki. Hio ilikua kabla kuhamia Radio Jambo ambako alikaa tu kwa mda mfupi alafu akapotea hewani katika hali tatanishi. Lakini hatimaye P.A amevunja ukimya na kutangaza ya kwamba anarudi hewani katika Radio Jambo. Kupitia account yake ya Facebook, alipost:
Comments
Post a Comment